BizzyTaarifa (Computer Software for small and medium business info management)

 • Not rated yet
 • 1 day
I have been in a Web development industry for more than 5 years.I have done several projects.

100% Secure

Job is done or money back
 • You pay only the listed price without any hidden costs.
 • We keep your money until you are happy with the delivered work.
 • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Computer application inayosaidia kutunza na kufuatilia taarifa za biashara katika Duka,Pharmacy,Bar,Supermarket na biashara yoyote inayohusu uuzaji wa bidhaa kwa bei ya jumla au rejareja.Application hii inafanya mambo yafuatayo.

 • Kurekodi na kutunza taarifa za bidhaa zilizopo.
 • Kurekodi na kutunza taarifa za bidhaa zilizouzwa.
 • Ku kokotoa jumla ya pesa za manunuzi,mauzo na faida.
 • Kurekodi na kutunza taarifa za madeni na wadaiwa.
 • Kurekodi na kutunza taarifa za oda.
 • Kurekodi na kutunza taarifa za mapato na matumizi.
 • Kuandaa ripoti za mauzo ya siku,wiki mwezi au mwaka.

Na mengine mengi zaidi

Order Additional

Processing Fees (5%): $4