Nafunga mota ya kufunga na kufungua geti kwa remote

  • Not rated yet
  • 2 days

100% Secure

Job is done or money back
  • You pay only the listed price without any hidden costs.
  • We keep your money until you are happy with the delivered work.
  • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Nitakufungia motor inayofungua geti kwa remote. Motor inatumia umeme mdogo sana na inakuja na vitu vifuatavyo;

  1. Betri
  2. Remote mbili
  3. Reli ya kufungua na kufunga geti

Remote inaweza fanya kazi mpaka mita 100 toka kwenye geti. Tunakuja kukufungia kila kitu kwenye geti lako.

Order Additional

Processing Fees (5%): $30

Other gigs by Emallewo

Tunafanya kuingiza data kwenye system Data entry
0 (0)
fixed Rate $20
Tunafunga intercom majumbani, maofisini na kwenye majengo...
0 (0)
fixed Rate $350
Tunafunga fence ya umeme majumbani na sehemu mbalimbali
0 (0)
Starting at $800