Tunafunga intercom majumbani, maofisini na kwenye majengo mbalimbali
-
2 days
Request Custom Offer
Request Custom Offer
100% Secure
Job is done or money back
- You pay only the listed price without any hidden costs.
- We keep your money until you are happy with the delivered work.
- The gig will be done or your money will be returned.
Tunafunga intercom za kisasa kabisa kwenye mageti na milango pia. Intecom itakuwezasha kumwona na kuongea na anayebisha hodi ukiwa ndani.
Pia inaweza kufungua mlango na gate motor (Kwa nyumba zenye hivi vitu). Vinapatikana pia kwetu.
Report this gig
Report this gig
Not logged in