Nafanya kazi mbalimbali za IT Support kama kutengeneza computer na windows
-
2 days
Request Custom Offer
Request Custom Offer
100% Secure
Job is done or money back
- You pay only the listed price without any hidden costs.
- We keep your money until you are happy with the delivered work.
- The gig will be done or your money will be returned.
Tunatengeneza computer na laptops matatizo mbalimbali kama;
- Kubadili Keyboard ambayo imekufu au inasumbua.
- Kubadili hard disk
- Kubadili na kutengeneza motherboard
- Kubadili window
- Kufanya troubleshooting
- Kuweka na kurepair softwares na drivers
- Kubadili battery za laptop zisizokaa na chaji au zilizokufa.
- Kutengeneza computer iliyokufa na isiyowaka.
- Nafanya mambo yote ya networking.
- Kubadili catriages za printer.
Note: Tunafanya mambo yote yanayohusu IT. Tafadhali tuwasiliane kabla ya kuweka order unielezee tatizo lako.
Report this gig
Report this gig
Not logged in