Nita tengeneza ama kubadilisha display ya laptop zilizokufa

  • Not rated yet
  • 2 days

100% Secure

Job is done or money back
  • You pay only the listed price without any hidden costs.
  • We keep your money until you are happy with the delivered work.
  • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Nafanya kazi za kutengeneza Display za laptop zilizokufa au kubadilisha na kukuwekea mpya.
Kwa kununua kazi hii, nitakutafutia display nyingine mpya na kukufungia. Kama screen ya laptop yako imevunjika, imevujia wino au ina mstari naweza kukubadilishia. Na pia kama display haionyeshi kabisa naweza kucheki tatizo na kubadilisha ikibidi. Ukihitaji ufundi mwingine wa IT cheki kazi yangu nyingine niliyopost.

NOTE:Kabla ya ku order tafadhali tuma message uniambie aina ya laptop yako ili niweze kujua upatikanaji wa display ya laptop yako.

Order Additional

Processing Fees (5%): $5

Other gigs by Evance

Nafanya kazi mbalimbali za IT Support kama kutengeneza computer...
0 (0)
fixed Rate $20