Farm care and development service-kazi za kilimo mashambani/ garden/miradi

  • Not rated yet
  • 0 days

100% Secure

Job is done or money back
  • You pay only the listed price without any hidden costs.
  • We keep your money until you are happy with the delivered work.
  • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Unahitaji kijana wa uhakika na anayejua kilimo vizuri kwa ajili ya shamba/mradi-kilimo wako?
.Atafanya kazi kama vile kulima ,ushauri, kuhudumia mazao au mifugo na masoko pia.
.Uaminifu ni wa hali ya juu.
.Atafanya kazi popote.
**pia tunatoa huduma za pembejeo bora za kilimo kama vile madawa, mbolea...organic na inorganic, matrekta kwa mikopo
.**Tunafanikisha utafutaji wa masoko ya mazao yako(linkage) na utoaji wa elimu.
**tunaandaa project proposals na business plans on time....ni wa uhakika.

You are welcome . Huduma zetu ni zauhakika. Tunaamini unastahili kilicho bora zaidi. Jumuika nasi. Tumia huduma zetu.

Order Additional

Processing Fees (5%): $7.50