Nafanya finishing ya nyumba kwa kupaka rangi, skimming na vanish ndani na nje.

 • Not rated yet
 • 0 days
$400 Premium
8 Days Delivery
2 Revisions
FULL SERVICE

Kupaka Rangi

Skimming

Vanish Madirisha

Rangi Grils

Vanish Makabati

Vanish Milango

Compare Packages

$300 Standard
8 Days Delivery
2 Revisions
STANDARD
Nakufanyia skimming na pia kupiga rangi nyumba yako.

Kupaka Rangi

Skimming

Compare Packages

$150 Basic
3 Days Delivery
2 Revisions
BASIC
Nakupigia rangi nyumba yako yote.

Kupaka Rangi

Compare Packages

100% Secure

Job is done or money back
 • You pay only the listed price without any hidden costs.
 • We keep your money until you are happy with the delivered work.
 • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Nafanya kazi ya skimming, kupiga rangi nyumba, kupiga rangi ma grili na pia kupaka vanish milango, madirisha na makabati.

Skimming ni kama plaster inayotumia white cement na gypsum powder/plaster. Inasaidia kuziba mianya na kufanya kuta ziwe zimenyooka bila mashimo.

Bei hii ni kwa nyumba yenye
Vyumba vya kulala - 2 au 3
Sebule - 1
Jiko - 1
Dining - 1
Vyoo na mabafu - 2

KUMBUKA BEI HII NI NDANI NA NJE.

Kama unataka kupigiwa rangi ukuta/fence tuwasiliane ili niweze kuja kupaona.

Nafanya Drewa pia, tuwasiliane.

Biashara maelewano, tuwasiliane kukupa bei inayoendana na kazi yako.

NOTE: Bei ni nje ya vifaa/material. Ni gharama ya ufundi.

Kama unataka kufanyiwa mahesabu/BOQ kwanza tuwasiliane nikufanyie. Gharama yake ni elfu 20.

Basic
$150
Nakupigia rangi nyumba yako yote.
What's included?
 • Kupaka Rangi
 • Revisions: 2
 • Delivery time: 3 days
Standard
$300
Nakufanyia skimming na pia kupiga rangi nyumba yako.
What's included?
 • Kupaka Rangi
 • Skimming
 • Revisions: 2
 • Delivery time: 8 days
Full Service
$400
What's included?
 • Kupaka Rangi
 • Skimming
 • Vanish Madirisha
 • Rangi Grils
 • Vanish Makabati
 • Vanish Milango
 • Revisions: 2
 • Delivery time: 8 days
BASIC STANDARD PREMIUM
Name Basic Standard Full Service
Description Nakupigia rangi nyumba yako yote. Nakufanyia skimming na pia kupiga rangi nyumba yako.
Kupaka Rangi
Skimming
Vanish Madirisha
Rangi Grils
Vanish Makabati
Vanish Milango
Delivery time 3 days 8 days 8 days
Revisions 2 2 2
Price $150 $300 $400
Order

Order Additional

Processing Fees (5%): $47,500