Naandika andiko la mradi (project proposal) wa mtu binafsi au shirika
-
7 days
Request Custom Offer
Request Custom Offer
100% Secure
Job is done or money back
- You pay only the listed price without any hidden costs.
- We keep your money until you are happy with the delivered work.
- The gig will be done or your money will be returned.
Ni andiko (documents) linalojumuisha shughuli zote za mradi kuanzia mwanzo had mwisho, huandikwa kutumika kama muongozo wa mradi. Andiko hili pia hutumiwa katika kupata ufadhili wa kutekeleza mradi husika ili kufkia malengo yake.
Andiko huwa na sehem baadhi zifuatazo:
1) Jina la mradi
2) sura halisi ya mradi
3) utekelezaji wa mradi
4) usimamizi na tathimini ya mradi
5) ustawi na maendeleo endelevu ya mradi
Note: maeneo hayo hapo juu yana mambo mengi sana ndani yake ili kukamisha malengo ya mradi wako uwe ni mdogo au mkubwa....Tuwasiliane kwanza kwenye chat
Report this gig
Report this gig
Not logged in