Tunafanya makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba
-
14 days
100% Secure
- You pay only the listed price without any hidden costs.
- We keep your money until you are happy with the delivered work.
- The gig will be done or your money will be returned.
Bills of Quantities ya nyumba ni makadirio ya kiasi na gharama za vifaa na ufundi vitakavyohitajika kujenga na kukamilisha nyumba husika ktk kiwango kilichoanishwa ktk ramani ya jengo; hujumuisha aina ya vifaa vinavyohitajika, kiasi cha vifaa na makadirio ya gharama ufundi ya kujenga nyumba hiyo kulingana na ramani ya nyumba husika. Makazi tumekuandalia aina nzuri ya BoQ ambayo hata mtu asiye mtaalamu anaweza kuilewa ili aweze kufanya maamuzi sahihi ya ujenzi wako ktk mfumo wa mikakati, manunuzi ya ufundi na vifaa na ratiba nzima ya ujenzi wako.
- hizi ni gharama za makadirio za nyumba isiyozidi sqm 300
- na special kwa nyumba isiyo ghorofa
- kwa ghorofa au ukubwa zaidi basi ongeza extra service
- makadirio haya ni special kwa nyumba ya kuishi familia
Kazi yako utaipata ktk mfumo wa PDF files. Ukihitaji kufanyiwa printing, basi ongeza extra service.
- hizi ni gharama za makadirio za nyumba isiyozidi sqm 300
- na iwe nyumba ya familia
- na special kwa nyumba isiyo ghorofa, kwa ghorofa au ukubwa zaidi basi ongeza extra service
Nitumie ramani ya nyumba yako full yenye vipimo; Hakikisha iwe na
- Floor plans
- Foundation plans
- Sections
- All 4 elevations + 3D Pics
- Wastewater drawings
- Door and window schedules
- Roof plans
Itakuwa vyema kama pia utaweza ambatanisha na ArchiCAD file la nyumba hiyo!
- hizi ni gharama za makadirio za nyumba isiyozidi sqm 300
- na iwe nyumba ya familia
- na special kwa nyumba isiyo ghorofa, kwa ghorofa au ukubwa zaidi basi ongeza extra service
Kazi utapata ktk mfumo wa PDF file