Ofa!! Je unahitaji grafiki yenye ubora na ubunifu wa kisasa kwa bei ya chini !?

  • Not rated yet
  • 2 days

100% Secure

Job is done or money back
  • You pay only the listed price without any hidden costs.
  • We keep your money until you are happy with the delivered work.
  • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Je! Unahitaji grafiki (Graphic Design) yenye ubora,mvuto na ubunifu wa kisasa kwa bei ya chini ikiwa ni pamoja na logo, social media design, Banners, brochures, Flyers, banner, postcards au business cards kwaajili ya Tovuti, wavuti, kampuni, au shirika lako? Ikiwa ndio, karibu…!

Jina Langu Naitwa Peter,Ni mbunifu wa miundo ya kigrafiki (Graphic Design)  tofauti tofauti nimzoefu na nimekua nikifanya kazi kwa miaka mingi kwa kutumia programu zifuatazo Adobe photoshop,In-Design na Adobe illustrator.

Na zifuatazo ni Faida za kuniajiri kwa ajili ya kuunda muundo wako wa kigrafiki (Graphic Design)

+Grafiki zenye ubunifu na ubora wa hali ya juu
+Punguzo la bei
+Utoaji wa kazi Ndani ya masaa 24
+Marekebisho yasiyo na kikomo mpaka kuridhika kwako
+Msaada endelevu wa mteja 24/7
+2000px X 2000px resolution kubwa ya muundo wa grafiki kwa matumizi ya kuprint (300ppi) JPG or Fomati ya transaprent PNG.
+Faili zinazoeditika na zilizohaririwa katika muundo wa AI EPS PDF au fomati ya PSD (Faili inayoweza kusasishwa) itatumika kwa matumizi ya baadaye.
+Utambulisho kamili wa kampuni unaweza kutolewa juu ya mahitaji ya mteja

  • Tuma mahitaji yako kamili ya muundo wako kwenye mazungumzo.
  • Nakuhakikishia matokeo ya ubora kulingana na mahitaji yako yaliyoelezewa,
  • Bado una swali lolote akilini? Jisikie huru kutuma maandishi na uanze kwa mradi wako mara moja.

Natarajia kufanya kazi na wewe ... :)
Tafadhali Nitumie ujumbe ili tuweze kujadili zaidi juu ya mradi huo.

Order Additional

Processing Fees (5%): $0.10

Other gigs by Peter

Offer I will do any type of graphic designing for low price
0 (0)
fixed Rate $5
I will design modern and stylish book cover at low price discount
0 (0)
fixed Rate $5
I will design unique stylish and attractive album cover at low...
0 (0)
fixed Rate $5