Tuna shoot videos zenye quality nzuri za HD na 4K

 • Not rated yet
 • 2 days

100% Secure

Job is done or money back
 • You pay only the listed price without any hidden costs.
 • We keep your money until you are happy with the delivered work.
 • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Tuna shoot videos za ubora wa HD na 4K kwa kutumia camera za kisasa kabisa. Tuna chukua order za shooting and photograph za matukio mbalimbali ikiwemo;

 • Wedding Events
 • House Parties
 • Tourism
 • Advertisements
 • Adventures
 • Funerals e.t.c

Tuna kufanyia editing ya video na picha zako (Tafadhali chagua Order Additional hapo chini) kwa umakini wa hali ya juu.

Tafadhali wasiliana nasi kabla ya kuweka order ili kujua mahitaji yako.

Order Additional

Processing Fees (5%): $0.75