Natengeneza business plan kwa wale wanaotaka kuanza biashara
-
14 days
Request Custom Offer
Request Custom Offer
100% Secure
Job is done or money back
- You pay only the listed price without any hidden costs.
- We keep your money until you are happy with the delivered work.
- The gig will be done or your money will be returned.
Business plan ni document muhimu sana pindi unapotaka kuanzisha mradi, biashara ama kampuni. Pia kama unatarajia kuomba mkopo kwa ajili ya biashara, kuonyesha business plan ni lazima.
Business plan huwa na vitu vifuatavyo;
- Maelezo muhimu kwa ufupi.
- Maelezo kuhusu biashara yako
- Uchambuzi wa masoko
- Maelezo ya uongozi wa team yako
- Mbinu za mauzo
- Uhitaji wa fedha
- Matarajio ya biashara yako.
Bei huwa inatofautiana kulingana na ukubwa au udogo wa biashara yako. Tafadhali tuwasiliane kabla ya kununua.
Report this gig
Report this gig
Not logged in