Nakutengenezea 3D video kama hizi kwa kutumia picha zako

 • Not rated yet
 • 2 days
Greetings, I am Sunday from Dar es Salaam Tanzania. I am an experienced website and mobile app developer, graphic designer, social media manager, database and server manager for over 15 years.

I will provide the best possible quality on your project.

100% Secure

Job is done or money back
 • You pay only the listed price without any hidden costs.
 • We keep your money until you are happy with the delivered work.
 • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Kwa kutumia picha zako, nakutengenezea 3D video album itakayo zipanga na ku play kwa style mbalimbali. Video hizi zinaweza kuwa kwa ajili ya picha zako binafsi, za biashara, au matango ya television na social media. Naweza kuweka

 • Picha zako mchanganyiko.
 • Picha za Graduation
 • Picha za Harusi
 • Picha za Anniversary
 • Picha za Party kama Birthday
 • Picha za Kumbukumbu kwa ajili ya mazishi
 • Picha za Familia au Ukoo.
 • Picha za Safari uliyoenda

Kwa biashara, picha zinaweza kuwa za bidhaa unazo uza, za ofisi yako au duka, huduma unayotoa, picha za packages kama bei na aina za utalii, au picha kwa ajili ya wateja wako. Vyovyote utakavyo, kuweka picha kwenye video ni njia nzuri ya kuziangalia na ku share memories na watu. Pia ni njia rahisi ya kufikisha ujumbe wako.

Kwa kutumia kama tangazo, ni bei rahisi na haraka kutengeneza.

Tafadhali pitia design mbalimbali zilizopo na uchague unayotaka. Design zinatofautina animations, idadi ya picha na muda. Tafadhali pitia hizi demo na uchague unayotaka.

NB: Nitakuwa naongeza aine nyingine ya Demo kila mara. Tafahdali pitia mara mara kwa ajili ya demo mpya.
Kama ungependa logo ya biashara au kampuni yako itokee kwenye video, tafadhali chagua Order Additional hapo chini. Pia kama unataka umfanyiwe editing ya picha, unaweza chagua Order Additional au nunua Gig yangu nyingine ya photo editing

https://ajiras.com/gigs/graphics-design/i-will-do-photoshop-editing-job-including-background-removal-and-enhancement/

Kuna Demo zifuatazo


1. Demo 1 - https://youtu.be/TigdLYCBHuY, https://youtu.be/KQ7hap8bgwU, https://youtu.be/fxTk0RQ2oBs

 • Support picha mpaka 65
 • Sehemu ya kuweka maneno 32
 • Full HD 1080pIna version 3.
 • Short (Dakika 1:00), Medium (Dakika 1:36) na Long (Dakika 2:32)
 • Resolution 1920 x 1080

2. Demo 2 - https://youtu.be/PjUWog4efuY

 • Ina Support mpaka picha 100
 • Pia naweza kuweka videos
 • Full HD 720p au 1080p
 • Ina
  version 4. Short - Picha 25 ( Dakika 1), Medium - Picha 50 ( Dakika 2),
  Long - Picha 75 (Dakika 3) na Longer - Picha 100 (Dakika 4)
 • Resolution 1920 x 1080

3. Demo 3 - https://youtu.be/3IWKoXKF5Ls

 • Ina support kwanzia picha 15
 • Full HD 1080p
 • Dakika 1 au chini ya hapo.
 • Resolution 1920 x 1080

4. Demo 4 - https://youtu.be/3Nj9HGreToE

 • Support picha 40
 • Full HD 1080p
 • Dakika 1:42
 • Resolution 1920 x 1080

5. Demo 5 - https://youtu.be/AXOGhOmnVX0

 • Support picha 48
 • Full HD 1080p
 • Dakika 1:28
 • Resolution 1920 x 1080
 • Sehemu za Text 16

6. Demo 6 - https://youtu.be/o1BzMptpKeY

 • Support Picha 63
 • Sehemu za Text 3
 • Full HD 1080p
 • Resolution 1920 x 1080
 • Dakika 1:20

Kumbuka, uwezekano wa customizations upo. Unaweza niandika message kama una swali lakini pia unaweza tuma Request Custom Offer kama unahitaji changes specific.

Karibu sana.

Order Additional

Processing Fees (5%): $0.75

Other gigs by Sunday

I will do any wilcity theme and app related work for you
0 (0)
fixed Rate $5
I will create professional clickable HTML email signature
0 (0)
Starting at $5
I will provide unlimited business email address in 24hrs
0 (0)
fixed Rate $25