Tunafanya kazi ya fumigation majumbani kwa bei nafuu

  • Not rated yet
  • No delivery time

100% Secure

Job is done or money back

  • You pay only the listed price without any hidden costs.
  • We keep your money until you are happy with the delivered work.
  • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Tunafanya shughuli za fumigation majumbani kwa mashine nzuri na ya kisasa. Tunatumia dawa zinaendana na kutunza mazingira na zimedhibitishwa na TPRI ( Tropical Pesticides Research Institute).

Tunapuliza nyumba nzima kulingana na huduma uliyochagua. Tafadhali chagua huduma unayotaka na idadi ya vyumba, chemba ama eneo la ziada,  kwenye Order Additional ili vipigwe dawa.

Dawa zetu tunachanganya kwa kiwango cha juu na tukiwa sehemu ya kazi na utaona ratio tunayotumia. Dawa zinaweza uwa mbu, mende, nzi, nyuki, sisimizi na wadudu wengine watambaao.

NB: Bei hii ni kwa chemba moja. Kwa mahitaji zaidi chagua hapo chini au wasilina nasi kwa kubonyeza Contact ili uweze pata discount kama unahitaji kupuliza eneo au nyumba kubwa.

Tafadhali chagua tarehe na fanya booking nasi.

Calendar

April 2020
MonTueWedThuFriSatSun
30 31 1 2 1/1 3 1/1 4 1/1 5 1/1
6 1/1 7 1/1 8 1/1 9 1/1 10 1/1 11 1/1 12 1/1
13 1/1 14 1/1 15 1/1 16 1/1 17 1/1 18 1/1 19 1/1
20 1/1 21 1/1 22 1/1 23 1/1 24 1/1 25 1/1 26 1/1
27 1/1 28 1/1 29 1/1 30 1/1 1 1/1 2 1/1 3 1/1

Order Additional

Processing Fees (5%): 250TZS