Nitakuwekea slider kwenye website yako ya Joomla ama WordPress

  • Not enough ratings
  • 1 day

100% Secure

Job is done or money back

  • You pay only the listed price without any hidden costs.
  • We keep your money until you are happy with the delivered work.
  • The gig will be done or your money will be returned.

Job Description

Nitakuwekea Smart Slider 3 kwenye website yako moja ya Joomla ama Wordpress. Smart Slider 3 ndiyo slider inayoongoza sasa hivi kwa kufanya kazi vizuri na kuwa na features nyingi.
Nakuwekea na original license wala siyo nulled(cracked) na utaweza update pindi version mpya inapotoka bila wasiwasi. License ninayokuwekea inagharimu $200 kununua. Mimi nimenunua unlimited licenses kwa unlimited websites.
Features za Smart Slider 3

  1. Slider Library zaidi ya 80 unazoweza chagua unayotaka.
  2. Slider Type zote 5
  3. Layer Type zote 16
  4. Sample sliders zaidi ya 100

Actually smart slider 3 ndiyo iliyotumika pia kwenye sliders unazoziona homepage kwenye website hii. Unaweza ona samples na uwezo wa Smart Slider 3 hapa https://smartslider3.com/sample-sliders/

NB: Kwa bei hii nakufanyia installation na kuactivate license. Ukitaka nikutengenezee slides changua extra hapo chini.

Order Additional

Processing Fees (5%): 2,250TZS

Feedback

Kelvin
10/10/2018

Great Seller, Work done in few hours and was exactly what i wanted

Other gigs by Sunday

I will design a beautiful and stunning logo reveal for your business I will design a beautiful and stunning logo reveal for your business
I will design a beautiful and stunning logo reveal for your...
0.0 (0)
fixed Rate 45,000TZS
Nakutengenezea 3D video kama hizi kwa kutumia picha zako Nakutengenezea 3D video kama hizi kwa kutumia picha zako
Nakutengenezea 3D video kama hizi kwa kutumia picha zako
0.0 (0)
fixed Rate 25,000TZS
I will check your website for malware, viruses and if it’s hacked I will check your website for malware, viruses and if it’s hacked
I will check your website for malware, viruses and if...
0.0 (0)
fixed Rate 30,000TZS