Hii ni fursa kwa group na page admins wa facebook na blogs

Unajua watu wengi tunatumia mitandao ya kijamii kuchat na tunatumia hela kwenye bundle  ? ? tuu bila kuingiza chochote. Leo kuna fursa ya kutengeza hela. Na fursa hii inahitaji dakika 5 tu kuanzisha na itakuingizia hela miaka nenda rudi.

Ajiras ina hii program ya affiliate wengi tunaijua kama referral. Hii program inachofanya ni kukuruhusu wenye kushare link ambapo mtu akibonyeza hiyo link itamleta kwenye website ya ajiras na akinunua ama akiuza huduma ndani ya siku 90 kwanzia alipobonyeza link yako unapata commission. Siku 90, that is 3 months tokea amebonyeza link yako. Embu angalia group lako lina members wangapi. Angalau nusu ya hao wakijiunga, unaweza ingiza sh ngapi? Ukaandika post yako vizuri kwenye facebook group na facebook page na ukaweka option ya Sticky ina maanisha kila atakayeingia kwenye page yako ataliona tangazo.

Ajiras ni nini kwanza?

Tunajua wazi kabisa kuwa ajira Tanzania ni shida, uwe umesoma au ujasoma, kupata ajira ni tatizo. Lakini pia hata wale waliobahatika kupata ajira, mishaara haitoshi. Mambo mengi, hela kidogo. Sasa suluhisho ni nini?

Kampuni ya One Two One Consultant Ltd ikaona ni vizuri kama tutatengeneza uwezo wa vijana kujiajiri. Ukiangalia, kila mtu amesoma, hajasoma kuna ujuzi flani anao. Kuna kazi anaweza kufanya. Na hizo kazi kuna watu wengi sana wanahitaji kufanyiwa. Kuna huduma tungependa kufanyiwa lakini hatujui mtu anayeweza kufanya. Mfano; Kushonewa suti, kuchimbiwa kisima, fundi umeme, kuwekewa kingámuzi, kutengenezewa website ama app ya simu, kufanyiwa fumigation, kupewa maelezo kuhusu kilimo na masoko, kufunguliwa kampuni na mambo mengine mengi tu. Na watu wanaofanya au wanaoweza kufanya hivyo vitu wapo. Tatizo ni jinsi ya hawa watu kukutana.

Kwa hiyo ajiras imetengenezwa ili kuwa kutanisha watoa huduma na wahitaji huduma. Kwa kazi yoyote unayoweza fanya, register na andika kazi yenyewe na bei zako. Website ina sehemu ya kuchat na kunegotiate na unaweza mtumia mtu bei nyingine kutoka kwenye chat kwa kubonyeza (Send Custom Offer). Mteja analipa moja kwa moja mtandaoni kwa Tigopesa (zitaongezwa nyingine soon).

Ili kuondoa utapeli, hela inabaki katikati, kwahiyo muuzaji apokei hela mpaka atakapo maliza kazi, akizingua hela inarudi kwa mteja na anaweza kumwajiri mtu mwingine. Ni system nzuri sana kwa kuzuia utapeli wa ajabu ajabu.

Kwa hiyo kama unaweza fanya kazi yoyote, jiunge angalia wengine wameandikaje na ujitangaze. Kama unashindwa, kuna hii forum hapa, andika tatizo unalopata na watu watakusaidia.

 

Jinsi Affiliation inavyofanya kazi.

Kuna affiliation za aina mbili.

  1. Kutangaza website ambayo link yake unaikuta kwenye page ya affiliate mara tu baada ya kuregister. Ukiicopy link unayoikuta hapo na kuweka kwenye facebook page yako, mtu yeyeto akibonyeza akauza au akanunua huduma yoyote ndani ya miezi 3 tokea alipobonyeza link, utapata commission ya kitu alichonunua au kuuza.
  2. Hii ni kutangaza kazi ya mtu. Watu wemeweka huduma mbalimbali wanazouza kwenye ajiras. Ukiona kazi ambayo unadhani watu wanaihitaji na watainunua, copy link yake, nenda kwenye page yako ya affiliate na paste kwenye Landing page link kisha bonjeza Generate URL hii itatengeze link nyingine chini yake. Copy hiyo link na share. Mtu yeyeto akibonyeza hiyo link itampeleka kwenye kazi husika. Akinunua hiyo kazi muda wowote ndani ya miezi 3, na wewe utapata commission.

Ni njia rahisi mtu kupiga hela. Na si wa facebook admin tu, hata hawa wenye blog wanaweza tumia hii njia na kupost kwenye blogs zao. Unaweza hata ongeza category ya wajasiliamili kwenye blog yako na kuwa unaongelea na kuweka kazi za watu to ajiras kwa kutumia affiliate. Kwa hiyo badala ya kutegemea adsense peke yake, utaingiza hela kwa njia hii na pia utakuwa umewasidia vijana kuuza kazi zao.

Yaani vijana tukiweza tumia hii fursa vizuri, tuna toka fresh tu. Maisha ni kutumia nafasi zinazojitokeza, na huwa zinakuja wakati wowote, haziji tu wakati umejipanga. Ili utoke kwenye maisha, kila nafasi ikijitokeza uwe umejiapanga ama la, pambana uitumie. Otherwise sahau swala la kujikwamua kiuchumi.

19/09/2018