Nitakufungia motor inayofungua geti kwa remote. Motor inatumia umeme mdogo sana na inakuja na vitu vifuatavyo;BetriRemote mbiliReli ya kufungua na kufunga getiRemote inaweza fanya kazi mpaka mita...
Tunafunga intercom za kisasa kabisa kwenye mageti na milango pia. Intecom itakuwezasha kumwona na kuongea na anayebisha hodi ukiwa ndani.Pia inaweza kufungua mlango na gate motor (Kwa nyumba zenye...